Showing posts with label WASANI. Show all posts
Showing posts with label WASANI. Show all posts

Sunday, June 8, 2014

THE WINNERS OF THE 2014 MTV AFRICA MUSIC AWARDS


Davido



Best Male: Davido (Nigeria)
Best Female: Tiwa Savage (Nigeria)
Best Group: Mafikizolo (South Africa)
Best New Act: Stanley Enow (Cameroon)
Best Live Act: Flavour (Nigeria)
Best Collaboration: “Y-tjukutja” – Uhuru Ft. Oskido, DJ Bucks, Professor and Yuri Da Cunha (South Africa/Angola)
Best Hip Hop: Sarkodie (Ghana)
Best Alternative: Gangs of Ballet (South Africa)
Best Francophone: Toofan (Togo)
Best Lusophone: Anselmo Ralph (Angola)
Artist of the Year: Davido (Nigeria)
Song of the Year: “Khona” – Mafikizolo ft Uhuru (South Africa)
Best Video: Clarence Peters (Nigeria)
Best Pop: Goldfish (South Africa)
Best International: Pharrell
Personality of the Year: Lupita Nyong’o (Kenya)
MTV Base Leadership Award: Ashish J. Thakkar (Tanzania)
Transform Today Award by Absolut: Clarence Peters (Nigeria)

video nyingine kali kutoka kwa Tyga wa Young Money

tiger

Wimbo wa video hii unaitwa Hookah amemshirikisha Young Thug src Ayotz

Friday, June 6, 2014

Hatimaye akaunti ya Twitter ya Diamond yawa Verified

 
verified
Diamond Platinumz ambaye kwa sasa yuko Afrika Kusini akijiandaa na shughuli ya utoaji wa tuzo za MTV,leo mtandao wa Twitter umempa umiliki halali wa akaunti yake ya Twitter kwa kuwa Verified.
verifed

Diamond Platnumz anaungana na mastar kadhaa wenye  verified kwenye akaunt zao ambao ni pamoja na Rais Jakaya Kikwete,Ambwene Yesaya ‘Ay’,Flavian Matata.January Makamba na baadhi ya mastaa.

src
AyoTZ

VIDEO:BOB JUNIOR-UKWELI WANGU

Download Gelly wa Rhymes - Elewa

Thursday, June 5, 2014

Tanzanian model! well done 18+

Flaviana1
Flaviana6
Whether you are into fashion or not, you have heard about Flaviana Matata. She is currently a flag holder for the nation as far as fashion and modeling goes. Although she is currently based in New York,she hasn’t forgotten where she come from. Recently she was back in homeland to honor and remember her later Mother and all others who perished in MV Bukoba tragedy.
When she is not doing charity works, she does what she does best. Here are some breathtaking images from French Magazine,
 
src
blogu ya mwananchi

Una umri wa kupiga kura? tazama picha kali za show ya Jenifer Lopez

Mwanamuziki JLO akifanya vitu vyake stejini. Kulia akiwa na dansa wake.
...Msanii huyo mbali na miaka 44 aliyonayo lakini aligonga shoo ya nguvu akiwa na kivazi chake kilichoacha baadhi ya maungo yake nje.
STAA wa muziki nchini Marekani, Jennifer Lynn Lopez (44) amedhihirisha kuwa bado wamo baada ya kutinga jukwaani akiwa na 'kivazi tata' na kuangusha bonge la shoo. JLO alitupia kivazi hicho pamoja na suspenda wakati wa shoo aliyoifanya nyumbani kwao huko Bronx, New York nchini Marekani.
JLO akionyesha mbwembwe na dansa wake.
Shoo ikiwa imechanganya ndani ya Bronx, New York nchini Marekani.
Ilikuwa full burudani.
 
src
GPL

OFFICIAL VIDEO: 18+ JASON DERULO – ‘WIGGLE’ FEAT. SNOOP DOGG


Tuesday, June 3, 2014

HAPPINESS MAGESE: NATESEKA KUTOKUPATA MTOTO



JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001.
Miss Tanzania Mwaka 2001, Happiness Millen Magese akijibu maswali ya waandishi wa Global (hawapo pichani). 
Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni ya Ice Model Management na alikaa huko kwa miaka nane kabla hajahamia katika Jiji la New York, nchini Marekani ambapo amesaini mkataba na Kampuni ya Ford Models mpaka sasa hivi. Ana miaka minne na tayari ameshaongezewa miaka miwili zaidi ya fani hiyo ya uanamitindo duniani.
Happiness Millen Magese akijifuta machozi wakati akielezea alivyoteseka kupata mtoto. 
Ijumaa iliyopita, Happiness alifika katika ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga, Mwenge, jijini Dar es Salaam na moja kwa moja alizungumza na waandishi wa habari kupitia safu hii ya Live Chumba cha Habari ambapo aliongelea mengi kuhusiana na maisha yake na fani nzima ya uanamitindo.
Baadhi ya maswali na majibu kati ya Happiness na waandishi wa Global Publishers yalikuwa kama ifuatavyo;
Mwandishi: Tuambie Millen Magese Foundation ni nini, kazi zake ni nini na lengo lake ni nini?
Happiness: Ni foundation ambayo inashughulika zaidi na mambo ya elimu, afya na kumuinua mwanamke.
Happiness Magese akistorisha juu ya mafanikio aliyoyapata kupitia sanaa ya urembo.
Katika mambo ya elimu nimejikita zaidi kumuweka mwanafunzi au yule mtoto ambaye yupo shuleni awe katika mazingira mazuri ya kujisomea.
Siyo hapa tu Tanzania nimeanzisha nchi nyingi sana kwa sababu katika education kwangu its very personal, naiangalia kwa ukaribu sana kwani ilinikumba mimi mwenyewe wakati nikiwa mdogo na katika maisha yangu yaliyopita ndiyo maana naamua kuwa karibu na hawa viongozi wa baadaye, sijaanza leo tangu nikiwa Miss Tanzania niliweza kutembea mikoa zaidi ya 20  Tanzania.
Happiness Magese katika moja ya shughuli zake za monyesho ya mavazi nchini Afrika Kusini.
Mtwara na Lindi nimeguswa sana ndiyo mana niliahidi siku nikirudi Tanzania nitaweza kujenga shule au kuendelea kutoa misaada zadi.
Baada ya miaka 12 nilivyorudi bado nilikuta hali ni ileile, watoto bado walikuwa wakikaa chini nikapelekwa shule nyingine ambayo ni kajumba kadogo kalikuwa ka udongo. Jambo hili ningependa nilifuatilie zaidi na kuanza kusaidia nimeanza na darasa moja na ndani ya darasa moja yapo madarasa matatu, na la nne linaendelea tutawapa updates wiki hii.
Happiness Millen Magese akiwa 'mtoni' katika matanuzi na moja ya mashosti zake.
Mwandishi: Millen Magese Foundation inatoa huduma gani kwa upande wa afya?  
Happiness: Katika suala la afya tumejikita zaidi katika hali ya kiafya ya maumivu ya mwanamke katika hedhi ambayo inajulikana kitaalam kama ‘Endometriosis’.
Ugonjwa huu umeshanikumba na napenda niweke wazi kwa maana ni vyema mtu akianza mapema hawezi kuwa na matatizo yaliyonikumba.
Nimeshafanyiwa upasuaji mara 12 na mirija yangu yote imeziba, upande wangu mmoja wa ovary haufanyi kazi. Ile ndoto yote ya mimi kama mwanamke kupata mtoto kwa njia ya kawaida imetoweka.
Nisingependa kuona wanawake wengine wanakwenda njia niliyopitia na ndiyo mana nipo hapa Tanzania ili kuweza kuliongelea zaidi na kuiomba hata serikali, vyombo vya habari watu wote kujitolea kuweza kumsaidia mwanamke huyu ambaye anaweza kuwa kama mimi.
Magese akipoza koo wakati akilonga na Global.
Ukimsaidia mwanamke utakuwa umesaidia dunia nzima. Mwanamke ni nguzo katika nyumba yoyote ni suala ambalo linapaswa kuongelewa na wababa, wakaka na viongozi kila sehemu.
Nimepanga kutoa semina mbalimbali kwa wanawake, ikiwezekana kufungua hospitali maalum ya wanawake itakayotibu ugonjwa huu.
Mwandishi: Tangu umeanza kuutibu ugonjwa huu wa Endometriosis, umetumia kiasi gani?
Happiness: Nilianzia Afrika Kusini ambako nilifanya operesheni 10, mbili nimefanyiwa Marekani. Gharama ya Afrika Kusini ilikuwa ni randi 35,000 (sh milioni 5,500,000) kwa Marekani ilikuwa ni dola 6,000 (sh. milioni 9,958,000).
Halafu kuna vitu ambavyo unatakiwa uvitumie kwani kuna kuwekewa mayai na unachomwa sindano 63 kwenye tumbo, kila siku unachomwa sindano tatu kwa siku 22 na kila siku unaamshwa kwa ajili ya kufanyiwa Ultrasound, nadhani unaona maumivu ni kiasi gani unayapata. Kwa bahati mbaya mwili wangu uliweza kuzalisha mayai matatu kwa sababu ovary yangu moja haifanyi kazi wakati wengine wanazalisha kuanzia saba mpaka 15.
Magese akiwa mbele ya jarida la kimataifa la Complete Fashion.
Endometriosis kwangu imekuwa sugu ndiyo maana msishangae siku nikienda Italy, Marekani au sehemu yoyote kuasili mtoto, hii ni kwa sababu Mwenyezi Mungu ndivyo alivyonipangia.
Mwandishi: Changamoto zipi unakumbana nazo katika fani ya uanamitindo?
Happiness: Changamoto yangu kubwa ilikuwa ni afya yangu.
Nilikuwa sijui lini nitakuwa okey, lini nitafanyiwa upasuaji na lini nitarudi kwenye kazi yangu maana ukiondoka leo zinakuja sura mpya zaidi ya 1000 unashindwa kujua kama utarudi na kuwa top. Nashukuru nilipata viongozi wazuri wa kunisimamia na kuniongoza mpaka nimejulikana kama Happiness Magese na kuwa mwanamitindo maarufu.
Nawaomba waajiri wote muwaangalie watu wa namna hii na mkishamfahamu ana ugonjwa wa Endometriosis mpeni ushirikiano sana.
Mwandishi: Kwa nini suala la fani nzima ya urembo linaonekana kama uhuni?
Happiness: Katika fani nzima ya urembo ni kwamba unavyoonekana tayari unakuwa ni ghali. U need to be taken care, u need to be good, to be presentable ambayo unaitangaza linakofanyika Shindano la Miss World. Watu wanadhani kuwa mrembo lazima uwe mhuni kwa sababu mrembo ni lazima awe msafi muda wote, awe anatumia gharama.
Wengi hujiuliza sasa pesa anazipata wapi mpaka anakuwa mrembo namna hiyo, ina maana waandaaji ndiyo wanampa pesa? Mimi nilipokuwa Miss Tanzania nilipata sapoti kubwa kutoka kwa wazazi wangu.

Thursday, May 29, 2014

Download Ommy Dimpoz - Ndagushima

src Mapacha

Monday, May 26, 2014

NIKKI WA PILI: SIJAWAHI KUMTUNGIA NGOMA JOH MAKINI



 

Nickson Simon (Nikki wa Pili) baada ya kulonga na Global TV Online.
Kundi hilo linaongozwa na vichwa vitano vikiwemo, Isaac Waziri Makuto ‘Lord Eyez’, Nickson Simon (Nikki wa Pili), George Sixtus Mdemu (G Nako), John Simon (Joh Makini) na Bonta.
Jamaa wana ngoma nyingi ambazo zote zimeweza kushika chati ikiwa ni pamoja na ya sasa ya Gere, kuanzia ngoma hadi video wametisha.
Muongeaji mkuu wa kundi hilo, Nikki wa Pili ambaye juzikati alidondoka katika mjengo wa mastaa (Global Publishers).
Moja kwa moja akasimama mbele ya kamera za Runinga ya Global TV Online kwenye Kipindi cha Mtu Kati na kurushwa hewani kupitia mtandao namba moja Bongo wa www.globalpublishers.info
KIONGOZI WA WEUSI NI NANI?
Weusi haina uongozi isipokuwa ina majukumu. Kama mimi ni msemaji tu katika kundi. Ukiandaa shoo tegemea kuwasiliana na mmoja kati ya Weusi yaani mimi, Bonta, G Nako au Joh.
Hakutakuwa na shida kwa sababu kila mmoja anahusika kama Weusi.
Weusi wakifanya makamuzi wakati wa utoaji tuzo za Kili.
NI KWELI UNAMTUNGIA MISTARI YA KIINGEREZA JOH MAKINI?
Hapana, sijawahi kumtungia kwa sababu Joh Makini anaweza kutunga ngoma hata miye yeye ndiye mwalimu wangu tangu nimekua, amekuwa akinifundisha muziki mpaka nilivyo sasa.
LORD EYEZ MMEMTIMUA KWA AJILI YA MADAWA YA KULEVYA?
Hapana! Lord Eyez tumemsimamisha kazi kutokana na kukiuka kanuni za kundi na wala siyo kwa ajili ya madawa ya kulevya.
MIPANGO IPI IPO NDANI YA WEUSI KWA SASA?
Kwa sasa kila mmoja anatoa ngoma, nimeachia Sitaki Kazi, Joh Makini anakuja na mzigo wake mpya unaitwa See Me, G Nako naye anatoa ngoma yake sambamba na Bonta pia.
Mafansi wategemee shoo nyingi na video za kumwaga. Katikati ya mwezi wa kumi mashabiki wategemee ngoma nyingine kali kutoka kwa Weusi.
KWA NINI ULIIMBA NGOMA YA SITAKI KAZI?
Ni ngoma ya kuhamasisha watu kutengeneza ajira. Kwa Tanzania tatizo la ajira ni kubwa sana na limekuwa likiongezeka kila siku.
Lakini kama mtu atafikiri kujiajiri na kuajiri wengine, atakuwa amefikiria poa sana. Nafikiri nilijaribu kuchalenji idara nzima ya ajira kwa sababu ukifuatilia katika mawizara mengine yanafanya tofauti.

src
GPL

Friday, May 23, 2014

Sikiliza kwa makini:Dia Gambe Vs Dia facebook za Young killer & Young kacha

Wasanii wengi huchukua beat la msanii fulani pengine na idea kidogo na kubadili maneno,mara nyingine nyimbo hizo huvuma pia.Leo nimekuleta Dia gambe ya young killer na Dia facebook ya Young kacha.Sikilize halafu comment kama idea imeleta maana.

ROSE NDAUKA AELEZA ALIVYOWAMWAGA WANAUME NA KUTULIA NA MALIKI


Makala: Hamida Hassan
KAMA kawa, leo katika Exclusive Interview tunaye mwigizaji Rose Ndauka ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.Kwenye maisha yake ya sanaa, amepitia mambo mengi ambayo yanasisimua, katika makala haya utayapata kwa ukamilifu wake:
Mwigizaji maarufu wa filamu za kibongo Rose Ndauka akiwa na mumewe Maliki
ALIVYOANZA KUIGIZA
Ilikuwa ni mwaka 2007, Dairekta na muigizaji wa filamu nchini, Single Mtambalike ‘Rich’ alimshawishi Rose Ndauka aingie kwenye tasnia ya sanaa.
Kama bahati, Rose alikuwa akienda kumtembelea rafiki yake katika Kundi la Kamanda ambalo Rich alikuwa akiigiza, ndipo akashawishiwa kujiunga na sanaa.
Rich, wasanii wenzake akiwemo Baba Haji, JB, alipomuona kwa mara ya kwanza aligundua kabisa kuwa Rose anaweza kuigiza ila alikuwa hajajitambui, hivyo baada ya kuoneshwa njia, fasta akaitumia fursa.
ALIPENDA KUTAZAMA FILAMU
Licha ya kutowahi kuigiza lakini Rose alipenda sana filamu za Kifilipino pamoja na tamthilia mbalimbali za Kizungu zilizokuwa zikiendelea kwenye runinga mbalimbali.
Risasi: Nje ya Rich kukuonesha njia, ujasiri zaidi wa kuendelea na uigizaji uliupata wapi?
Rose Ndauka: Baba Haji ndiyo alisisitiza kuwa naweza, alinipa ushawishi mkubwa, akaniambia nisikate tamaa, kweli nikajitahidi na mpaka leo hii napasua anga za uigizaji hadi kufikia hatua ya kupewa tuzo mbalimbali, namshukuru Mungu.
Risasi: Baada ya kuingia kwenye kundi la akina Rich, ilisemekana kuwa mlivuka mipaka na kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na ndiyo maana ulikuwa na nafasi kubwa ya kucheza filamu, unalizungumziaje hilo?
Rose Nda
ka: Mh! Siwezi kusema kuwa ni kweli kwa sababu mimi ninachojua Rich alikuwa ni bosi wangu na mpaka leo namuheshimu kama bosi.
Rose Ndauka akiwa na mwanae
Risasi: Wakumbushe wasomaji wa Risasi Jumamosi filamu yako ya kwanza kabisa kuigiza.
Rose: Ilikuwa inaitwa Swahiba, nilicheza kama Aisha msichana aliyekuwa akisoma chuo.
Risasi: Tukitoka kwenye upande wa filamu na uigizaji, maisha ya kawaida kwako wewe kama msichana umewahi kuwa na uhusiano na wanaume tofauti na wengine waliripotiwa katika vyombo vya habari je, ni kwa nini uliamua kuwabwaga na kuhamia kwa baba mtoto wako (Maliki Bandawe) unaweza kusema?
Rose Ndauka: Niligundua kuwa hawakuwa na ‘future’ na mimi hivyo nikaachana nao, nikaamua kutulia na Maliki ambaye ndiye anayetarajia kunioa soon.
Risasi: Baba mtoto wako mlikutana wapi na una uhakika gani kama ana future na wewe?
Rose Ndauka: Mwanaume mwenye future utamjua tu, kwa huyu naamini nimefika, nilikutana naye Tanga tulikuwa tunafahamiana kabla ya kupendana na kilichotuweka karibu ni kazi hivyo, alivyorusha nanga nikaamua kumkubalia.
Risasi: Wewe ni staa unayependwa na wengi, unazungumziaje usumbufu kutoka kwa wanaume wakware? Baba mtoto wako anaipokeaje hali hiyo?
Rose: Niliwahi kusumbuliwa na wengi kabla sijaingia kwenye uhusiano kamili, kuna niliowahi kuwakubalia lakini kuna niliowakataa kwa sababu hawakuwa na vigezo, baada ya kuwa mama, najiheshimu na baba mtoto wangu ananiamini anachonikumbisha ni ‘ku-take care’ tu.
Risasi: Kuna habari zilitufikia wakati bado hamjapata mtoto na Maliki kuwa uliwahi kupigana klabu kwa kugombea penzi la njemba wa nje ya nchi, unalizungumziaje hili?
Rose: Mh! Siyo kweli, kwanza mimi starehe za klabu nilifanya sana nilipokuwa na umri wa miaka 19-21 baada ya hapo mtu akikwambia aliniona klabu atakuwa anakudanganya, sijakanyaga huko muda mrefu sana.
Risasi: Katika maisha yako umewahi kumfumania umpendaye?
Rose: Nimewahi kumfumania mpenzi (siyo Maliki) mara  mbili lakini nilichoshukuru ni kwamba sikuwahi kuachwa katika fumanizi, anayeachwa mara nyingi ni yule ninayemkuta na mpenzi wangu.
Risasi: Je, umewahi kumfumania baba mtoto wako? Ikitokea je utafanyaje?
Rose: Siombi itokee lakini ikishatokea ndiyo nitajua nifanyeje ila watu wasitegemee kama nikimfumania nitamuacha, nitafanya uchunguzi nitakapobaini sababu za kufanya hivyo, nitachukua uamuzi sahihi.
Risasi: Umewahi kupata skendo za kutembea na wapenzi wa rafiki zako akiwemo huyu baba mtoto wako, unalizungumziaje hilo?Rose: Sijawahi na hata baba mtoto wangu hajawahi kuwa na uhusiano na rafiki yangu yeyote kabla.

src
GPL

DIAMOND ALIVYOPAGAWISHA JIJI LA LONDON‏

Urban Pulse Creative Media wanakuletea video ya shoo ya msanii Namba 1 Tanzania Diamond Platinumz iliyofanyika Jumamosi tarehe 17 Mei, 2014 ndani ya Ukumbi wa Oasis

VIDEO:Beka - Mzazi Mwenzangu




src
Mapacha

Download Stamina Ft. Walter Chilambo - Mguu Pande Mguu Sawa

Wednesday, May 21, 2014

Mwasiti - Serebuka (Video)

src Mapacha

Download M2 the P Ft. - Albert Mangwea

src mapacha

Download Makamua Ft. Joslin - Nitakulinda

src Mapacha

VIDEO:MBONA UMENUNA -MB DOG

Tazama video mpya ya Mb Dog mbona umenuna