Showing posts with label MICHEZO. Show all posts
Showing posts with label MICHEZO. Show all posts

Monday, June 2, 2014

mchezo wa jana Tanzania vs Zimbwabwe – Angalia magoli hapa

slider3Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa stars’ imesonga mbele kwenye hatua nyingine ya kuwania tiketi ya kushiriki michuano ya AFCON 2015 kufuatia sare ya 2-2 dhidi ya wenyeji Zimbabwe katika mji wa Harare, na kuifanya stars kupata ushindi wa jumla ya mabado 3-2.
Magoli ya Tanzania yalifungwa na Nadir Haroub na Thomas Ulimwengu src AyoTz

Friday, May 30, 2014

Tanzania ya 122 FIFA,

Screen Shot 2014-05-31 at 2.19.14 AM

Ni mechi ambayo ilichezwa May 27 2014 ikiwa ni mechi ya kirafiki ambapo Tanzania kwa sasa inashika namba 122 duniani kwenye list ya viwango vya FIFA na Afrika ni ya 37 ambapo namba bora kuliko zote Tanzania iliyowahi kushika kwenye historia ya viwango vya FIFA ni 65 mwaka 1965 src AyoTz

Monday, May 26, 2014

Video: Tazama wimbo ulioimbwa na wachezaji wa Real Madrid kusherehekea ubingwa wa ulaya

article-2639147-1E35F0C300000578-684_634x423Baada ya kushinda taji la 10 la kihistoria la ligi ya mabingwa wa ulaya, timu nzima ya Real Madrid iliingia studio kuimba wa #HalaMadrid. Wimbo huo tayari umetoka utazame hapo chini…… src AyoTz

Saturday, May 24, 2014

VIDEO: UCL MADRID WAFANYA KWELI RECORD KIBAO ZAVUNJWA

Ilikuwa ni fainali iliyowakutanisha mapinzani wa jadi wanaotoka mji mmoja.Madrid wakiwania LA DECIMA ATM nao walitaka kuandika historia,dk 36 ATM walipata goli liliodumu hadi dk ya 93 wakiamini wamesha shinda ndipo yale maajabu ya mpira yalipoanza kutokea,unakumbuka uefa ya 2005 Liverpoool akiwa nyuma goli tatu zote zikarudi,unakumbuka fainali ya uefa 1998 Man U VS Bayen Munich.Man U akiwa nyuma goli moja dka za majeruhi anasawazisha kuongeza,ndio yaliyowatokea ATM wakarudi kuzuia maarufu kama kupaki basi.Wakampa mwanya RAMOS kufunga.Dk 120 ATM walikuwa mwamechoka huku Dimaria wakiwachambua kama atakavyo. Wapo tuliyoamini ile record ya ukimtoa Barca unakuwa bingwa lakini ikavunjwa,CR7 akifikisha magoli 17 akiweka record mpya,Ancelot abeba uefa ya 3,Madrid wakibeba UEFA ya kumi.

Tuesday, May 20, 2014

Zitto Kabwe alia na Samatta, Domayo


Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.
Lucy Mgina na Martha Mboma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametaja kilichoinyima ushindi mkubwa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), ilipocheza na Zimbabwe wikiendi iliyopita.
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars).
Stars ilivaana na Zimbabwe kwenye mchezo wa awali wa kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika na kupata ushindi wa bao 1-0.
Akizungumza na Championi Jumatano, Kabwe alisema Stars ilicheza mchezo mzuri na wa kuvutia lakini tatizo kubwa lilikuwa sehemu ya kiungo ambayo ilikuwa ikiongozwa na Frank Domayo ambaye mara nyingi alionekana kuchoka.
Straika tegemeo katika kikosi cha Taifa Stars, Mbwana Samatta.
Alisema pia safu ya ushambuliaji ilikosa mabao mawili ya wazi ambayo kama wangetumia nafasi hiyo vizuri, anaamini wangeibuka na ushindi mkubwa.
“Tunashukuru tumeshinda hapa nyumbani, tunaenda ugenini, nafikiri wenzetu walituzidi sana kwenye safu ya kiungo, hivyo ni vyema mwalimu akaliangalia hili mapema kwani tunaenda kwao.
“Katika ushambuliaji niliona Mbwana Samatta alikosa kama mipira miwili hivi ya kumalizia, kama tungeitumia tungepata ushindi mkubwa, lakini hayo yamepita, nafikiri mwalimu atakuwa ameona upungufu kabla ya kwenda kurudiana,” alisema Zitto

src
GPL

Sunday, May 18, 2014

VIDEO:FIFA WORLD CUP 2014 OFFICIAL SONG

VIDEO:MAGOLI 1O BORA MSIMU WA 2013/2014 YA CR7 & LUIS SUAREZ

Baada ya kumalikza kwa ligi mbili maarufu duniani EPL na La liga na CR7 na Luis Suarez kuibuka wafungaji bora katika ligi zao.Hapa kunakuletea magoli kumi bora ya CR7 na Luis Suarez.Pata uhondo huo

VIDEO:MAGOLI 31 YA CR7 MSIMU WA 2013/2014


Baada ya La liga kumalizika,hatimaye CR7 ameibuka mfungaji bora akiwapiku Messsi na Diego costa.Hapa tunakuletea magoli yote 31 ya msimu wa 2013/2014

 

Video: Hivi ndivyo Atletico Madrid walivyochukua ubingwa wa La Liga mbele ya Barca

Atletico Madrid jana usiku walitawazwa kuwa mabingwa wapya wa La Liga baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya FC Barcelona kwenye mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya Spain uliopigwa kwenye dimba la Camp Nou. Atletico wanakuwa mabingwa wa tofauti na aidha Barcelona au Real Madrid tangu miaka 9 iliyopita, pia huu ni ubingwa wao wa kwanza wa La Liga tangu mwaka 1996.
Barcelona vs Atlético Madrid 1-1 by FootyLight0

Sunday, May 11, 2014

TSN KUWALETA REAL MADRID BONGO

VIDEO:Best save za magolikipa EPL 2013/2014

Magolikipa hufanya kazi za ziada kuokoa michomo hatari ya wasahambuliaji.Hapa tunakuonsha baaadhi ya kazi ya magoli ya kuokoa michomo hatari na hatmaye kusaidia timu zao

VIDEO:Penati 11 za Steven Gerrad

Liverpool ni iongoni mwa timu zilizofunga magoli mengi msimu huu,lakini pia ni miongoni mwa timu zilizopata penati nyingi sana hapa tunakuletea penati 11 za Steven Gerrad.

VIDEO:MAGOLI YA WAFUNGAJI BORA EPL 2013/2014

Tunaingazia EPL 2013/2014 magoli yote ya wafungaji watatu bora wa EPL

VIDEO:miongoni mwa magoli bora zaidi EPL 2013/2014

Baada ya ligi kumalizika leo tunaangalia moja ya mabao bora yaliyofungwa katika msimu wa 2013/2014

Thursday, May 8, 2014

VIDOE.;TAZAMA MAN CITY ALIVYOUSOGELEA UBINGWA,NA MADRID ALIVYOZIMWA KAMA MSHUMAA KUELEKEA UBINGWA

Madrid wakidraw mechi mbili mfululizo na wakiwa nyuma ya vinara kwa pointi nne wamempta nafasi Barca kurekesha matumaini ya mbio za ubingwa baada ya ATM kuambulia kipigo.Mambo yakiwa hivyo Man city wamejongea kileleni kwa pointi mbili zaidi na tofauti ya magoli 9

Wednesday, May 7, 2014

Video: Namna Vidic alivyoagwa Old

1959502_10152161030227746_5783264355164203115_n
Manchester United jana usiku ilicheza mchezo wake wa mwisho msimu huu kwenye uwanja wake wa nyumbani Old Trafford dhidi ya Hull City  - matokeo yalikuwa 3-1, Wilson alifunga mawili na Van Persie alifunga moja kwa upande wa United

Pamoja na ushindi lakini jana pia ilikuwa ndio mechi ya mwisho ya nyumbani ya Nemanja Vidic akiwa amevaa jezi ya United. Mserbia huyo amemaliza mkataba wake Old Trafford na msimu ujao atakuwa akiichezea Inter Milan. Baada ya mchezo kuisha wachezaji wa United walikusanyika katikati ya uwanja wakiongozwa na kocha wao Ryan Giggs kumuaga nahodha wao Nemanja Vidic huku mashabiki wakiwa wanamuimbia nyimbo za kumsifu
src Ayotz

Tuesday, May 6, 2014

Mtaalamu wa nyasi bandia akagua na kupima uwanja wa Kaitaba





Na Faustine Ruta, Bukoba — Mtaalamu wa nyasi bandia kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Dk Ian McClements aliwasili Bukoba asubuhi ya Jumatatu, Mei 5, 2014 kwa ndege ya kukodi.

McClements akiwa Bukoba alikagua uwanja wa Kaitaba, na baadaye akakwea tena ndege yake kuelekea jijini Mwanza kukagua Uwanja wa Nyamagana.


Dk. Ian McClements akiteta jambo na Jumanne Chama Umande ambaye ni Katibu wa KRFA kwenye Uwanja wa Kaitaba, Jumatatu Mei 5, 2014.


Viwanja hivi vinawekwa nyasi bandia kwa ufadhili wa FIFA chini ya mpango wa misaada wa Goal Projects. Baada ya ukaguzi huo, McClements atatuma ripoti yake FIFA ili shirikisho hilo liweze kuteua mkandarasi wa kufanya kazi hiyo.


Kwa Tanzania viwanja vilivyowekwa nyasi bandia hadi sasa kupitia Goal Project ni Uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam, Uwanja wa Karume (Dar es Salaam) na Uwanja wa Gombani uliopo Pemba.


Dk. Ian McClements (kulia) akipata maelekezo kutoka kwa Eng. George Geofrey wa Manispaa hapa Bukoba


Nje kidogo ya mipaka ya uwanja Dk. Ian McClements analazimika kuchimba ili aweze kuona chini kuna nini? Akitaka kupima maji yanafyonzwa vipi na ni udongo gani? Je, maji yananyonywa vipi na udongo wa hapa Kaitaba, kwenye uwanja huu huu wanaotaka kuuwekea nyasi za bandia?

Dr. Ian McClements jembe mkononi.


Kumbe kuna mchanga chini, safi.


Dk. Ian McClements akichimba chini ili kupima na kuona udogo upi ulipo chini, Amehimba katika maeneo matatu tofauti tofauti na kubaini tofauti.


Dk. Ian McClements (kulia) akichukua kumbukumbu kushoto ni Eng. George Geofrey wa Manispaa hapa Bukoba.


Dk. Ian McClement akipima kina


Dk. Ian McClement alimwaga maji ndani ya shimo ili kuona kaji nini kitafata na je yatanyonywa na udongo kwa muda gani!


Ilichukua muda wa dakika 1 na sekunde 40 na maji yalikuwa yameshatoweka


Akipima maji aliyoweka

Kumbukumbu zikichukuliwa na Dr. Ian McClement kwenye uwanja wa Kaitaba, kumbuka atatuma ripoti yake FIFA ili shirikisho hilo liweze kuteua mkandarasi wa kufanya kazi hiyo.


Dk. Ian McClements akichukua maelezo kutoka kwa Eng. George Geofrey wa Manispaa hapa Bukoba


Alichimba na sehemu ya upande wa pili wa goli






Dr. Ian McClements akiteta jambo na Kiongozi Katibu wa KRFA Jumanne Chama





Hapa mchanga hakuna na udongo wake ni mweusi mchanga upo chini zaidi








Dk. Ian McClements baada ya kumaliza kazi yake alipaa kuelekea jijini Mwanza na hapa alikuwa anaagana na Jumanne Chama kwenye Uwanja wa Ndege






























Monday, May 5, 2014

Video:Tazama ndoto za ubingwa za Liverpool zilivyoanza kuzimwa,Suarez aangua kilio

Liverpool mbio za ubingwa zapunguzwa kasi na Crystal palace Suarez akiangua kilio baada ya filimbi ya mwisho

Friday, May 2, 2014

DONE DEAL:Diego Costa agree to £35 Chelsea move

 
DONE DEAL: Diego Costa agrees to £35m Chelsea move
 
 
The Spain international striker's switch to Stamford Bridge was tied up less than 24 hours after he helped eliminate the Blues at the Champions League semi-final stage
Diego Costa has agreed to join Chelsea this summer, Goal can reveal.

A deal worth £75 million, including transfer fee and salary, was finalised at a meeting in London less than 24 hours after Costa's penalty inspired Atletico Madrid's 3-1 Champions League win over the Blues on Wednesday.

Chelsea will pay around £35m for the striker, although a significant portion of the transfer fee includes agents' fees.

The Europa League champions will also more than triple the wages of Costa, who is believed to earn around £50,000 per week at the Estadio Vicente Calderon. Chelsea are set to hand the 25-year-old a five-year contract worth £150,000 a week.
 As reported by Goal in April, the west Londoners hope to confirm the deal before the end of the season and ahead of Costa departing for the World Cup, where he is expected to be an integral member of the Spain squad trying to defend their 2010 crown.

Representatives of the Londoners have held a series of meetings with Costa's camp in recent months and the latest set of talks around the two clubs' Champions League showdown has closed the deal.

Speaking in the wake of Wednesday night's win, Costa admitted that he had a few offers on the table from rival clubs but said that he would focus on Atletico's pursuit of the double before making a decision on his future.

Atletico coach Diego Simeone had paved the way in April for Costa to leave by admitting that the Primera Division challegers were powerless to stop him being sold to a club of Chelsea's financial might.

"It will depend on him [Costa] and what he thinks is the best for his future," Simeone said. "I will support any decision he makes. It's natural that Chelsea are interested in him.

"We understand that Chelsea have huge financial power and if he wants to live off football for the rest of his life, I will have no problem in him going. Samuel Eto'o is getting older and Diego Costa could do his thing there but, for now, he is ours."

Costa emerged as Chelsea's top centre-forward target following an outstanding campaign for Atletico, who head the Spanish table as well as being in the final of the Champions League. The 25-year-old has scored 36 times in 49 matches this season and his 27-goal league haul is second only to Cristiano Ronaldo (30).

The Blues were keen to trigger the Brazil-born forward's release clause in January, when he was also being closely monitored by rivals Arsenal, but the player did not want to leave in mid-season.

The buy-out figure was understood to be £30m in January, although a slightly higher sum of £35m will be paid to capture him in the summer window.

Arsenal dropped their interest in Costa in the winter following lukewarm scouting reports, leaving Chelsea in pole position to capture the prolific striker.

Jose Mourinho has made no attempt to hide his desire to recruit a blue-chip centre forward amid doubts over the futures of all three of the Blues' senior front men - Eto'o, Fernando Torres and Demba Ba. At least two of the trio are expected to leave in the summer, while Romelu Lukaku will hold talks with Chelsea chiefs when he returns from his season-long loan at Everton.

As reported by Goal, Atletico lead the chase for Torres and there is also interest in the Spaniard from Inter, Tottenham and Galatasaray. A growing possibility is that Torres could leave on a season-long loan to free up space in Chelsea's attack and on their wage bill.

Ba's representatives have already begun speaking to interested parties, while current first choice Eto'o, 33, is out of contract in the summer.

src
Goal.com

MWANASHERIA: USAJILI WA DOMAYO AKIWA KAMBINI HAKUNA KANUNI INAYOKATAZA

 

841dDamas-NdumbaroMwanasheria na wakala wa wachezaji wa FIFA, Dkt. Damas Ndumbaro
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
KUFUATIA uongozi wa Azam fc kumsainisha mkataba wa miaka miwili kiungo mkabaji wa Yanga sc, Frank Domayo `Chumvi` akiwa katika kambi ya Taifa ya Tanzania, mwanasheria na wakala wa kimataifa wa wachezaji anayetambuliwa na shirikisho la soka duniani FIFA, Dkt. Damans Ndumbaro amesema hakuna sheria inayozuia mchezaji kusainishwa mkataba akiwa kambi ya timu ya Taifa.
Akizungumza na mtandao huu, Ndumbaro amesema sheria inaeleza kuwa mchezaji anayetakiwa kusajiliwa na timu ni yule aliye huru baada ya kubakiza miezi sita katika mkataba wake au ana mkataba, lakini klabu inayomhitaji imezungumza na timu inayommliki mchezaji.
“Domayo ni mchezaji huru na alikuwa huru kwenda klabu yoyote”. Alisema Ndumbaro.
Pia alisema hakuna sheria inayosema kambi ya timu ya Taifa ni eneo linalozuiliwa watu kwenda.
“Kambi ya timu ya Taifa watu huwa wanaenda. Kumbuka Yondani alisajiliwa Yanga akiwa timu ya taifa, na hatukusikia mzozo wowote kwasababu hakuna kununi inayozuia hilo”.
FRANK DOMAYO“Kama mchezaji ametoroka kambini ataadhibiwa kwa utoro, lakini kambi ya timu ya taifa ni sehemu ya wazi na watu wanaruhusiwa kwenda pale na huwezi kukataza watu kwenda pale”
“Kumbuka timu inakaa hotelini na hoteli huwa hawakai wachezaji tu, kila mtu anaweza kukaa pale”. Alisema Ndumbaro.
Kutokana na tukio lililotokea Aprili 30 mwaka huu kwenye kambi ya timu ya Taifa (Taifa Stars) iliyopo Tukuyu mkoani Mbeya likihusisha usajili wa Frank Domayo, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemteua Wakili Wilson Ogunde kuchunguza mlolongo mzima wa tukio hilo.
Baada ya kukamilisha uchunguzi wake, Wakili Ogunde ataishauri TFF kuhusu hatua za kisheria na kikanuni za kuchukua.
TFF ilitoa wito kwa wachezaji, klabu na wadau wa mpira wa miguu kufuata kanuni na taratibu katika utendaji wao
 
src
shaffihdauada