Saturday, May 24, 2014

VIDEO: UCL MADRID WAFANYA KWELI RECORD KIBAO ZAVUNJWA

Ilikuwa ni fainali iliyowakutanisha mapinzani wa jadi wanaotoka mji mmoja.Madrid wakiwania LA DECIMA ATM nao walitaka kuandika historia,dk 36 ATM walipata goli liliodumu hadi dk ya 93 wakiamini wamesha shinda ndipo yale maajabu ya mpira yalipoanza kutokea,unakumbuka uefa ya 2005 Liverpoool akiwa nyuma goli tatu zote zikarudi,unakumbuka fainali ya uefa 1998 Man U VS Bayen Munich.Man U akiwa nyuma goli moja dka za majeruhi anasawazisha kuongeza,ndio yaliyowatokea ATM wakarudi kuzuia maarufu kama kupaki basi.Wakampa mwanya RAMOS kufunga.Dk 120 ATM walikuwa mwamechoka huku Dimaria wakiwachambua kama atakavyo. Wapo tuliyoamini ile record ya ukimtoa Barca unakuwa bingwa lakini ikavunjwa,CR7 akifikisha magoli 17 akiweka record mpya,Ancelot abeba uefa ya 3,Madrid wakibeba UEFA ya kumi.