Home »
MAPENZI
» DADA MPANGAJI ATOA PICHA ZAKE ZA MITEGO KWA BABA MWENYE NYUMBA
nzania Kwanza
Maranyingi wanaume wamekuwa wakiwekwa kwenye wakati mgumu sana pale
wanapowaona wanawake wakitoka kuoga kwani mara nyingi huwa wamevaa
mavazi ambayo kiukweli humfanya mwanaume ashikwe na ashiki pale amwonapo
mwanamke huyu.
Waweza kumkuta mwanamke kavaa
kijipande tu cha taulo ambacho hufungwa juu ya maziwa na hivyo kufanya
chini kuwa fupi matokeo yake mapaja yake,umbo la kalio lake na mistari
yake ya utamu iliyopo nyuma ya magoti yake vyote viwe halali ya macho
yako, na hapo ndipo mwanaume unakoma kukodoa hilo jicho lako.
Au
wakati mwingine huweza kukutana na balaa zaidi pale mdada mrembo mweupe
au hata mweusi mwenye ngozi lainii pale atokapo bafuni kuoga akiwa
amevaa kanga iliyoloa maji maji na mbaya zaidi asogee pembeni kidogo na
aanze kusugua miguu kwenye jiwe lililopo karibu yake, haki ya mungu wewe
mwanaume utajuta kuzaliwa.
Kiukweli mavazi yavaliwayo wakati wa
kwenda kuoga ni silaha kubwa sana ambayo
huamsha munkari wa mwanaume
yeyote yule rijali,Hivyo wewe kama ni mwanamke tambua kwamba waweza
kumpa hisia za pekee sana mumeo au mpenzio kwa kumvalia mavazi haya pale
uendapo kukoga..!!!