Saturday, May 24, 2014

MASKINI! MAMA ALIYEJIFUNGUA MAPACHA 4, MMOJA AFARIKI

Yule mama aliyejifungua mapacha wanne katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar, amepata pigo baada ya mmoja kufariki src GPL