
Kawaida taarifa hizi za ripoti ya CAG huwa zinapokelewa mwezi wa nne kwa mwaka huu imekua tofauti kidogo kwani imekabidhiwa mwezi Mei,miongoni mwa sababu zilizotajwa za kucheleweshwa kukabidhiwa kwa ripoti hii ni ule mchakato wa bunge maalum la katiba
src
Ayotz