Saturday, May 10, 2014

Dakika 5 za kilichotokea Kenya nyuma ya video ya ‘Asante’ ya Ay @AyTanzania

Screen Shot 2014-05-10 at 6.38.16 PM

Ni single yake mpya kwenye TV & Radio kote Afrika ambayo imefanyika Kenya zaidi ya wiki tatu zilizopita ikiwa pia ndio video ya kwanza ya Ay akionekana kumshika msichana, ni mara ya kwanza toka aanze kutoa video za single yake src AyoTz