Sunday, April 20, 2014

Na hii ndiyo video nyingine ya msanii wa Tanzania inayochezwa Channel O

i3Harakati za kuuvusha muziki wa Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania ni pamoja na kupata airtime kwenye vituo vya kimataifa.
Channel O ni kituo kinachobeba maudhui ya wasanii bora kwenye bara nzima la Africa na kupata airtime huko ni fursa tosha kwa msanii.
Hii ni video nyingine kutoka kwa msanii wa Tanzania iliyoanza kupata nafasi Channel O

i1
i2
qqqqqqqqqqqqqq

 





src
Millard ayo