Sunday, May 4, 2014

Video:Kabla ya tuzo 7 Diamond na Wema walichofanya haya Mtwara

Diamond Platnumz pamoja na baby wake Wema Sepetu waliambatana kwenda 88.4 Mtwara kwa ajili ya show ya heels and tie iliyoandaliwa na Vodacom na kuifanya Makonde Beach May 2 2014.
Ilikua ni show nzuri ambayo ilijaza mashabiki wa aina mbalimbali ambao walipewa taarifa za kuwasili kwa mastaa hawa wiki kadhaa kabla.