Monday, May 5, 2014

Video: Angalia Davido akimfundisha Adebayor kucheza wimbo wa ‘AYE’

Davido-and-AdebayorSiku chache zilizopita mtu wangu wa nguvu nilikuwekea video ya mwanamuziki Davido akimfundisha mwanasoka wa Samuel Eto’o kucheza wimbo wake wa ‘Skelewu’ – leo hii nimepata video nyingine ya Davido akimfundisha mwanasoka wa Togo na klabu ya Tottenham Emmanuel Adebayor kuucheza wimbo wake mpya unaofanya vizuri wa Aye.
Tazama video hapa src AyoTZ