Kwa mkazi yoyote wa Kigogo na Mburahati mpaka mabibo Dar es salaam ukimuuliza kuhusu vijana wanaojiita Panya Road na wanachokifanya kule atakupa majibu sahihi kuhusu kikundi hiki ambacho kinasemekena ni cha vijana wenye umri usiozidi miaka 20 wakiwa zaidi ya watu 50 ambao wanaendeleza vitendo vya kihalifu
src AyoTz