Hii picha imepostiwa na Ommy Dimpoz muda mfupi tu baada ya Diamond ambae yupo Uingereza na Ommy Dimpoz kupata taarifa za kuchaguliwa kwenye tuzo hizi.
Mastaa wengine waliotoa yao ya moyoni ni pamoja na mpenzi wake Diamond… Wema Sepetu, Ay, Young D, Salama Jabir, Madee na wengine akiwemo Belle 9 alieandika >>> ‘kwa hatua hii tuseme thanks God ni historia kubwa kwa muziki wetu tofauti na ulipotoka mpaka hapa saluut Diamond Platnumz’