Friday, May 2, 2014

Maandalizi Ya Ukumbi Itakapofanyika Kili Music Awards




Siku ya Jumamosi Mei 3 itakuwa kilele cha tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 kwa kuwatuza wasanii, vikundi, watunzi na wandaaji muziki waliofanya vizuri mwaka 2013. Haya ni maandalizi ya mwisho katika ukumbi wa Mlimani City.

Sound check ya Live Band


Mazoezi ya namna ya kulitawala jukwaa
Muonekano wa Ukumbi


Eneo litakalotumika kama Social Media Lounge


src
Wavuti