Wednesday, May 7, 2014

KASHESHE BARABARANI; TRAFIK WATWANGANA NA 'MJESHI'!



 Askari wa Usalama barabarani (trafik) eneo la Makumbusho, jijini Dar wakimpiga Dereva wa gari ambaye alijitambulisha kama 'mwanajeshi'Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu baada ya askari hao 'kupishana Kiswahili', lol!!.
(Picha na mdau)