Friday, May 2, 2014

Kama ulidhani mvua ni mbaya Dar tu, hii ni Marekani na magari yanazama livelive. ( picha 5 & video )

 

Screen Shot 2014-05-02 at 11.03.44 PMWakati mvua kubwa zimenyesha Dar es salaam siku kadhaa zilizopita baadhi ya watu waliilalamikia Serikali kwamba imefanya uzembe manake kama ingekua imejenga miundombinu vizuri, maeneo ambayo yangekumbwa na maafuriko ni machache.
Post hii ni maalum kwa ajili ya hiki kilichotokea kwenye jiji la Baltimore Marekani ambapo mvua kubwa imesabisha kuzama kwa mtaa uliokua umejengwa vizuri kabisa lakini umemezwa na magari yaliyokua yamepaki juu yake.
Screen Shot 2014-05-02 at 11.02.16 PM


Treni zilisimamishwa kusafiri kwa muda.
Magari yaliyozama baada ya ardhi kumezwa na maji
Magari yaliyozama baada ya ardhi kumezwa na maji.
Screen Shot 2014-05-02 at 11.04.01 PM
Tazama hii video hapa chini uone jinsi magari yakizama live.




src
AyoTz