INASEMEKANA Diamond Kamwibia Wababa Mtuka Baadhi Ya Mashairi PamoJa na Idea Mzima ya Nyimbo Yake Ya KITORONDOTrack Ya Wababa Inasemekana Imetoka Miaka Miwili Iliyo Pita[2012] iLa Haikupata air Time Yakutosha kwenye RADIO STATION Za BONGO
src Bongoclan





