Wednesday, May 14, 2014

HONGERA DIAMOND KUWEMO KWENYE BET.TUNAHITAJI COLABO NA INTERNATIONAL ARTIST ILI KUONEKANA




Screen Shot 2014-05-15 at 3.54.46 AM
Hongera Diamond umestahili kuchukua tuzo saba umeingia tuzo kubwa tatu na hii ya BET,Umetisha mkuu Hata Godzila Aliimba kuwa wanastahili kupewa hata tuzo BET.

Huu ndio wimbo ambao naamini umemfanya Diamond kuonekana kimataifa zaidi ukiusikiliza kwa makini Davido anaimba Igonna make you famous,Big kwa Davido pia kwani amejichukulia umaarufu Tanzania,pia ni fundisho kwa wasanii wengine kufanya colabo na wasanii wa nje ,kama kumbukumbu zangu zipo sawa alianza marehemu Kanumba kumshirikisha Noah kwenye filamu ya DEVIL KINGDOM ile muvi pia ilichukua tuzo
,IF DON'T FIGHT THEM JOIN THEM!