Monday, May 19, 2014

Christian Bella ameungana na Ommy Dimpoz kwenye hii

Screen Shot 2014-05-20 at 2.02.01 AM

Christian Bella alipotangaza kufanya kolabo na mkali wa bongofleva Ommy Dimpoz kila mmoja alikua na hamu ya kuona kitatokea nini hawa jamaa wakionganisha uwezo wao na sauti zao kwenye wimbo mmoja, hatimae kila kitu kimekamilika na video yao ndio hii hapa chini





src AyoTz