MahabA NiuwE
Home
Wasanii
Darasa la mapenzi
Udaku wa nje
Mapenzi
Matukio
Music
Sunday, May 4, 2014
Home
»
MATUKIO
» A-Z YA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 MLIMANI CITY JIJINI DAR
A-Z YA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 MLIMANI CITY JIJINI DAR
2:18 PM
MATUKIO
Mshindi wa tuzo saba za KTMA Diamond akikabidhiwa tuzo na staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi 'Ray'.
...Akikabidhiwa tuzo na mchumba wake Wema Sepetu.…
Mshindi wa tuzo saba za KTMA Diamond akikabidhiwa tuzo na staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi 'Ray'.
...Akikabidhiwa tuzo na mchumba wake Wema Sepetu.
...Akipokea tuzo kutoka kwa George Kavishe.
...Akipozi na mpenzi wake Wema Sepetu.
...Akiwa na Nay wa Mitego baada ya tuzo yao ya Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikiana ambao ni Muziki Gani.
Diamond akipokea tuzo kutoka kwa prodyuza Tuddy Thomas.
Shabiki wa Diamond akimpongeza kwa kutwaa tuzo nyingi.
...Akipokea tuzo nyingine kutoka kwa 'shemeji yake' Martin Kadinda.
...Akikumbatiana na mpenzi wake Wema kabla ya kupewa tuzo.
...Akiwashukuru mashabiki.
Msanii Ray C akikabidhi tuzo kwa Nikki wa Pili ambaye ni memba wa Weusi.
Weusi wakiwa na tuzo yao ya Kikundi Bora cha Mwaka, Kizazi Kipya.
Msanii Bora wa Hip hop na Mtunzi Bora wa Mwaka Hip hop, Farid Kibanda 'Fid Q' baada ya kutwaa tuzo zake mbili.
Mwimbaji Bora wa Kike Taarab na Mtumbuizaji Bora wa Kike wa Muziki, Isha Ramadhan 'Mashauzi' akiwa na mojawapo ya tuzo zake.
Msanii Young Killer akipokea tuzo yake ya Msanii Bora Chipukizi Anayeibukia kutoka kwa msanii JB.
...Killer akiwashukuru mashabiki.
Man Water kutoka Combnation Sound akiwa na tuzo yake ya Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka, Kizazi Kipya.
Mwanadada Vanessa Mdee akiwa na tuzo yake ya Wimbo Bora wa RnB aliyokabidhiwa na Elizabeth Michael 'Lulu'.
Mwimbaji Bora wa Kike Bendi,
Luiza Mbutu (katikati) akiwa na tuzo yake aliyokabidhiwa na wasanii kutoka Kenya, Amani na Kelvin Wyre.
Mtunzi Bora wa Mwaka Bendi, Christian Bella akipokea tuzo yake kutoka kwa Issa Michuzi.
Mashujaa wakipozi na mojawapo ya tuzo zao.
src
GPL
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
← Newer Post
Older Post →
Home
Popular
Tags
Blog Archives
VIDEO:UCHAFU UNAOFANYWA NA WACHEZA VIGODORO...SEREKALI HAMJALIONA HILI ?
Jamani hii inatia hadi kinyaaaa.....Hivi Kweli Watanzania tumefikia Kiasi Hichi ...Nilikuwa sijawahi ona Video za Vigodoro nilikuwa nasikia ...
ABOVE 18++ Haya ndiyo yanayofanyika kwenye kumbi za starehe jijini
src Blogu ya wananchi
DADA MPANGAJI ATOA PICHA ZAKE ZA MITEGO KWA BABA MWENYE NYUMBA
nzania Kwanza Maranyingi wanaume wamekuwa wakiwekwa kwenye wakati mgumu sana pale wanapowaona wanawake wakitoka kuoga kwani...
PICHA YA SALAMA JABIR AKILIWA DENDA MCHANA KWEUPEE...
Katika pitapita zangu nimefanikiwa kumnasa live Salama Jabir akinyonyana ndimi bila chenga na mwenzake…!! Nash...
VIDEO:18+ Lady Gaga - Marry the night
Download Stamina Ft. Walter Chilambo - Mguu Pande Mguu Sawa
(Gospel) Pius Bhutoke ft Bony Mwaitege - Milango Imefunguliwa (Video)
LINA:SIJAWAHI KUSAGANA
Stori: Shakoor Jongo MWANDAFADA anayekimbiza ndani ya Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ amesema anakiri kuwa usagaji upo kwa mastaa lakini...
Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni
Moja ya nguzo inayosukwa katikatika ya maji ya bahari huku kukiwa na bomba la pembeni linalotoa maji nje ya eneo linalosukwa nondo na zege...
VIDEO:MBONA UMENUNA -MB DOG
Tazama video mpya ya Mb Dog mbona umenuna
Labels
Diamond
KIMATAIFA
KITAIFA
MAKALA
MAPENZI
MATUKIO
MICHEZO
MUSIC
SIASA
WASANI
WASANII
Download