Wednesday, April 16, 2014

Video: MADRID MABINGWA BARCELONA CHALI

Magoli mawili ya Dimaria na lile la BALE yameiwezesha Madrid kuibuka mabingwa dhidi ya Barelona.Madrid wakicheza bila Roanado ndio waliokuwa wa kwanza kufunga goli lililofungwa na Dimaria baada ya pasi murua ya Benzema Angalia video jinsi bale alivyomkimbiza beki wa Barcelona