Friday, April 11, 2014

Show ya TV inayoonyesha vituko na makosa madogomadogo ya binadamu kila siku


Screen Shot 2014-04-12 at 6.09.46 AM



Inawezekana tumezoea kutazama sana show za TV ambazo nyingi huwa zinafanana kiasi au kabisa lakini hii inaweza kuwa miongoni mwa zile chache zenye utofauti. Ni show ambayo inaonekana kukusanya video za matukio yaliyotokea kweli kwenye mishemishe zozote za binadamu iwe ni ofisini, kwenye michezo, barabarani au kwengine

src
AyoTZ