Friday, April 11, 2014

Kwa nyimbo za Nigeria, hii nayo ni habari ya town @yemialadee



Kwa nyimbo za Nigeria, hii nayo ni habari ya town @yemialadee
miongoni mwa nyimbo za Wanawake zinazochezwa sana redioni kwa sasa Tanzania ni pamoja na ‘maumivu’ ya Khadija, huko Nigeria hii single ya ‘Johnny’ iliyoimbwa na Yemi Alade ndio inamiliki headlines. Kama hujawahi kuiona unaweza kuitumia hii time mtu wangu


src
AyoTV