Wednesday, April 23, 2014

FAHAMU JINSI YA KUMPIGIA KURA MWAKILISHI WA MAISHA PLUS MKOA WA NJOMBE



 Ellymathew Kika ni mwakilishi wa  shindano la maisha plus  kutoka mkoa wa njombe  ambaye pia ni mtangazaji wa kituo cha Uplands Fm kilichopo mkoani Njombe  kama ni mdau au umewiwa na kuhakikisha kijana wetu kutoka mkoa wa Njombe anajinyakulia ushindi 

....andika MP unaacha nafasi unaandika 08 Kisha tuma kwenda namba +255 689 666 662


src
Eddy Blog