Tuesday, April 8, 2014

Chelsea,Madrid zatangulia nusu fainali UEFA

PSG out as Ba rescues Chelsea
Ushindi wa magoli mawili umeiwezesha Chelsea kuingia nusu fainali kwa faida ya goli la ugenini





Borussia Dortmund v Real Madrid: Champions League Live Score, Highlights, Report

Licha ya ushindi wa BVB wa magoli mawili na kiwango kizuri walichoonesha huku Mdrid ikicheza bila CR7 wametolewa kwa agregate ya 3-2