Wednesday, April 9, 2014

Atletico Madrid bingwa UEFA?

Koke takes Atlético through at Barcelona's expense

Kwa waumini wa takwimu tutakubaliana nami kuwa anayemtoa Barca mara nyingi huwa bingwa,tukianza na Chelsea,bayern walimtoa Barca wakawa mabingwa