Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi yaani ‘nominees’ wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania.
Kabla ya kuanza kutajwa kwa wanaowania tuzo za KTMA 2014, BASATA ilitangaza nyimbo ambazo zimetolewa kwenye kuwania tuzo hizi kutokana na sababu za kimaudhui ambazo ni wimbo wa Snura-Nimevurugwa,Uzuri wako JUX na Madee -Tema mate
Mwimbaji Bora wa Kike- Bendi
Luiza Mbutu
Catherine Cindy
Ciana
Mtunzi Bora Taarabu
Mzee Yusuf
EL-Ahad Omary
El-Khatib Rajabu
Kapten Temba
Nassoro Seif
Mwimbaji Bora wa Kiume - Bendi
Mzee Yusuf
Hashimu Said
Mohamed Ali aka Mtoto Pori
Mwimbaji Bora wa Kike- TAARABU
Khadija Kopa
Isha Ramadhani
Khadija Yusuph
Mwanahwa Ali
Leyla Rashid
Kikundi cha mwaka –Taarabu
Jahaz Modern Taarabu
Mashauzi Classic
Five Stars
Kikundi cha mwaka –Kizazi kipya
Makomandoo
Navy Kenzo
Weusi
Mkubwa na wanawe
Bendi ya mwaka
FM academia
Mapacha watatu
Twanga Pepeta
Akudo Impact
Malaika Band
Mashujaa bendi
Mtunzi Bora wa mwaka Band
Christian Bella
Jose Mara
Chaz Baba
Nyosh El Saadat
Kalala Junior
Video Bora ya Mwaka
Number one –Diamond
Yahay-Lady Jaydee
Uswazi Takeway-Chege
Mama yeyo-Gnako
Mtumbuizaji Bora wa Kiume Kizazi Kipya
Diamond
Christian Bella
Rich mavoko
Ommy Dimpoz
Abdul Kiba
Mtunzi Bora Hip HOP
Nick wa Pili
Young Killer
Roma
Fid Q
G-Nako
Mtunzi Bora wa Mwaka –Kizazi Kipya
Bell 9
Ben Poll
Diamond
Rama Dee
Rich Mavoko
Prodyuza Bora
Marco Chali
Man Water
Mazoo
Sheddy Clever
Nahreel
Msanii Bora Chipukizi
Young Killer
Walter Chilambo
Y Tony
Snura
Meninah
Msanii Bora Hip Hop
Fid Q
Stamina
Young Killer
Nick wa Pili
G-Nako
Mwimabaji bora wa Kiume- Kizazi Kipya
Ben Poll
Rich Mavoko
Diamond Platnumz
Ommy Dimpoz
Cassim Mganga
Mwimabaji bora wa Kike -Kizazi Kipya
Vanessa Mdee
Lady Jaydee
Linah
Maua Samma
Wimbo Zouk Rhumba
Yahya –Lady Jaydee
Yamoto –Mkubwa na Wanawe
Msaliti-Malaika Band
Narudi Kazini –Beka
Wimbo R&B
Listen –Belle 9
Closer –Vanessa Mdee
So crazy-maua Samma
Kama Huwezi-Rama Dee
Wa ubani-Ben Poll
Wimbo Hip Hop
Bei ya mkaa-Weusi
Nje ya Box –Nick wa PilI
Siri ya Mchezo-Fid Q
2030-ROMA
Pesa-Mr Blue
Wimbo wa Afro Pop
Number One –Diamond
Joto hasira-Lady Jaydee
Kidela-ABDUL kiBA
I love u –Cassim
Tupogo-Ommy DIMPOZ
Roho Yangu-Mavoko
Wimbo wa Band
Ushamba Mzigo-Mashujaa
Shamba la Bibi –Victoria Sound
Chuki nini-FM Academia
Yarabi nafsi-Mapacha 3
Kiapo-Talent BAND
Wimbo wa Mwaka
Number One-Diamond
Joto Hasira-Lady Jaydee
Ilove u-Cassim
Yahya-Lady Jaydee
Kidela-Abdul Kiba
Muziki Gani- Nay
Nyingine ni
WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI – Tubonge ya Jose Chameleone, Nakupenda pia ya Wyre na Alaine, Badilisha ya Jose Chameleone, Kipepeo ya Jaguar, Kiboko changu ya Amani, Weasal na Radio.
WIMBO BORA WA TAARAB – Wasiwasi wako wa Mzee Yusufu, asie kujua hakuthamini Isha na Saida Ramadhani, Nipe stara Rahima Machupa, sitaki shari Leila Rashid, fahari ya mwanamke ya Khadija Kopa, mambo bado Khadija Yusufu, kila muomba Mungu ya Mwanahawa Ally.
WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL – Nishai ya Chibwa ft Juru, Sexy Lady ya Dr. Jahson, My sweet ya Jettyman Dizano, feel alright ya Lucky Stone na wine ya Princess Delyla.
WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/KUSHIRIKIANA – Muziki gani ya Ney wa Mitego ft Diamond, Joto hasira ya Lady Jaydee ft Prof J, kidela ya Ally Kiba na Abdu Kiba, bila kukunja goti ya MwanaFA, Ay ft J Martins na tupogo ya Ommy Dimpoz ft J Martins.
RAPA BORA WA MWAKA WA BENDI – Kitokololo, Chokoraa, Ferguson, Canal Top na Totoo ze bingwa.
MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE WA MUZIKI – Khadija kopa, Vanessa Mdee, Isha Ramadhani, Luiza Mbutu, Catherine (Cindy)
MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA TAARAB – Enrico, Ababuu mwana wa Zanzibar na Bakunde.
MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA (BENDI) – Allan Mapigo, C9, Enrico, Amoroso na Ababuu mwana wa Zanzibar.
WIMBO BORA WA REGGAE – Niwe nawe ya Dabo, hakuna matata ya Lonka, tell me ya Dj Aron ft Fidempha, bado nahitaji ya Chikaka ft Bless P & Lazzy B, Bongo reggae ya Warriors from the east.
WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA – Kwejaga nyangisha ya Batarokota, Nalonji ya Kumpeneka, bora mchawi Dar bongo massive, tumbo lamsokota ya Ashimba, Aliponji ya Wanakijiji na Agwemwana ya Cocodo african music band.