Ukiitazama ratiba ya EPL bado mbio za ubingwa ni mbichi ratiba inaonekana ni ngumgu kwa timu zote zilizopo top four mpaka sasa .Tukiaanza na Arserna ratiba yake ngumu . Ubingwa kwake kwa mtzamo wangu utaamuliwa ndani ya mwezi march huu kabla haujaisha kwani kama atapata matokeo mazuri kwa chelsea,spurs na Manchester city atatengeneza mazingira mazuri ya kuelekea ubingwa kwani katika msimu huu arsenal hasumbuliwi sana na timu ndogo

8 Mar, 12:45 | FA Cup | |
11 Mar, 19:45 | ||
16 Mar, 16:00 | ||
22 Mar, 12:45 | ||
25 Mar, 19:45 | ||
29 Mar, 17:30 |
April | ||||
6 Apr, 13:30 | ||||
13 Apr, 12:00 | ||||
19 Apr, 17:30 | ||||
28 Apr, 20:00 |
May | ||||
3 May, 15:00 | ||||
11 May, 15:00 |
Chelsea hana ratiba ngumu sana japo amekuwa akisumbliwa na timu ndogo,japo head to head ya mancity na arsenal Liverpool na mancity na ile ya man city na man United kama mancity atapata matokeo mabaya na Chelsea akapata matokeo mazuri dhidi ya arsernal na spurs itampa nafasi ya kutwaa ubingwa uzuri anacheza na liverpool mwishoni akiwa anajua mwelekeo wake kuelekea ubingwa,japo njia pekee ya chelsea kutwaa ubingwa itategemea sana matokeo mazuri na timu ndogo.

8 Mar, 17:30 | ||
15 Mar, 17:30 | ||
18 Mar, 19:45 | ||
22 Mar, 12:45 | ||
29 Mar, 15:00 |
April | ||||
5 Apr, 17:30 | ||||
13 Apr, 16:10 | ||||
20 Apr, 14:05 | ||||
27 Apr, 14:05 |
May | ||||
3 May, 15:00 | ||||
11 May, 15:00 |
Mancity japo ana ratiba ngumu lakini mimi binafsi nampa nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa amekuwa na matokeo mazuri sana dhidi ya timu kubwa msimu huu akiwa amezifunga timu kubwa zote isipokuwa chelsea katika mechi za ligi.Kama atapata matokeo mazuri dhidi ya Arsenal ,Man U na Liverpool atakuwa hana kipingamizi kuchukua ubingwa isitoshe ana magoli mengi ya kufunga pia ana vipolo viwilli.

9 Mar, 16:05 | FA Cup | |
12 Mar, 19:45 | ||
15 Mar, 12:45 | ||
22 Mar, 15:00 | ||
25 Mar, 19:45 | ||
29 Mar, 17:30 |
April | ||||
5 Apr, 12:45 | ||||
13 Apr, 14:05 | ||||
21 Apr, 20:00 | ||||
27 Apr, 16:10 |
May | ||||
3 May, 15:00 | ||||
11 May, 15:00 |
Liverpool ambaye msimu huu amekuwa na matokeo mazuri akiwa na foward yenye ushirikiano mzuri pia naye ana ratiba ngumu pia,lakini naye amekuwa akisumbuliwa na timu ndogo anaweza akatoa changamoto kubwa kuelekea ubingwa japo simpi nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa lakini ni msimu ambao nampa nafasi ya kurudi top four,najua hata kocha rodgers mawazo yake ni kuingia top four ubingwa kwao ni kama ziada tu japo anaweza kupata changamoto kutoka kwa spurs lakini ratiba kungu kwa spurs ambaye anakutana na Chelsea,Arsenal liverpool yenyeweinampa nafasi Liverpool nafasi liverpool.Man United wana nafasi lakini matokeo mabovu msimu huu yamewafanya wasiogopwe na timu yoyote hivyo hata timu ndogo zinnyiamini kuwa zikicheza na Man United kuna uwezekano wa kupata matokeo mazuri

16 Mar, 13:30 | ||
22 Mar, 15:00 | ||
26 Mar, 20:00 | ||
30 Mar, 16:00 |
April | ||||
6 Apr, 16:00 | ||||
13 Apr, 14:05 | ||||
20 Apr, 12:00 | ||||
27 Apr, 14:05 |
May | ||||
3 May, 15:00 | ||||
11 May, 15:00 |
By
mwelange@gmail.com
Facebook.SOLI BLOG
solli1.blogspot.com