Saturday, March 22, 2014

BECKHAM AMSHUHUDIA LIVE ROONEY AKIPIGA BAO LA MITA 57 KAMA ALILOPIGA MWAKA 1996



David Beckham alifunga bao kutokea katikati ya uwanja wakati Manchester United ikicheza dhidi ya Wimbeldon mwaka 1996.


Lakini Wayne Rooney amelipa baada ya kufunga bao akiwa umbali wa mita 75 na ushee huku Beckham akiwa uwanjani anashuhudia bao hilo dhidi ya West Ham.
Tayari bao hilo la Rooney limekuwa gumzo na baadhi wakisema ni bora kuliko lile alilofunga Beckham mwaka 1996 kwa kuwa ni mbali zaidi.