Monday, February 17, 2014

MAN CITY WAMEJIANDAAJE KUMKABA MESSI?

Manchester City itakuwa ikipambana na Barcelona katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya siku ya Jumanne, huenda ndio ina kibarua kikubwa cha kumzuia mshambuliaji wa Barcelona ambae anatumia guu lake la kushoto asilete hatari langoni mwao.
Hapa tunaangalia picha tofauti jinsi walinzi wa timu pinzani wanavyomdhibiti Lionel Messi. RATIBA YA 16 BORA
Threat: Pablo Zabaleta tries to get to grips with Lionel Messi at the Nou Camp in 2009
Safety in numbers: Rayo Vallecano find a way to stop Barcelona's Lionel Messi